Jambo! jambo bwana! habari gani?
mzuri sana; Wageni, mwakaribishwa;
Kenya yetu, Hakuna matata;
1. Kenya nchi nzuri : Hakuna matata;
Nchi ya kupendeza : Hakuna matata;
Mwakaribishwa : Hakuna matata;
2. Kenya nchi nzuri ; Hakuna matata,
Nchi ya maajabu ; Hakuna matata
Wakenya wote ; Hakuna matata